Sugu 'amuangukia' Rais Magufuli kabla ya 2020

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Rais Dkt John Pombe Magufuli.

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amemtaka Rais Dkt John Pombe Magufuli kufika Jijini Mbeya kwa ajili ya kutimiza baadhi ya ahadi ambazo alizitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kuwa ataijenga moja ya barabara kwenye jiji hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS