Hatimaye Yondani arejea Yanga, Ajibu hayupo

Kushoto ni Kelvin Yondani na kulia ni Ibrahim Ajibu

Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amethibitisha kurejea kikosini kwa mlinzi mkongwe wa timu hiyo Kelvin Yondani baada ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS