Musukuma amrejesha kiongozi aliyetumbuliwa
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma na Mjumbe wa Halmashsauri kuu ya CCM Mkoa wa Geita, amemrejeshea nafasi yake Mwenyekiti wa Kitongoji cha Misheni, Lucas Jackson(CCM), Kilichopo katika Kijiji cha Nyawilimilwa wilayani Geita.

