Rammy Galis atoa "Hukumu"
Staa wa filamu Tanzania Rammy Galis ametambulisha filamu yake mpya wikiendi hii, na kusema hafanyi filamu kwa ajili ya mashindano na hayuko tayari kushusha heshima yake kwa ajili ya kushindania vitu visivyo na msingi katika kazi yake.