Simba tulijua ipo, itatumika kama kipimo

Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi

Klabu ya soka ya KMC kupitia kwa kocha wake Ettiene Ndayiragije, imesema imejiandaa vyema na mchezo wake wa kesho dhidi ya Simba kwani mchezo huo ni sehemu ya ratiba japo ni kipimo kwa wachezaji wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS