Makonda ashangazwa na Bar kufungwa saa sita usiku Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, amesema kuwa anaandaa utaratibu ili wafanyabishara mbalimbali, wakiwamo wa baa waanze kufanya kazi kwa saa 24. Read more about Makonda ashangazwa na Bar kufungwa saa sita usiku