Rekodi ya kuogopesha ya wapinzani wa Simba JSS

Wachezaji wa JS Saoura

Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika kundi D, timu ya JS Saoura ya Algeria wanatarajiwa kutua nchini kesho Alhamis tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Jumamosi kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS