Nguo za Lulu kupamba Valentine Day ya mashabiki

Muigizaji, Elizabeth Michael

Muigizaji wa filamu Tanzania, Elizabeth Michael (Lulu) amebadilisha uamuzi wa kugawa nguo zake kama jinsi ambavyo aliahidi na badala yake ataziuza ili kusaidia wenye uhitaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS