"Sitaki kuwa mtawala"- Rais Magufuli Rais Dkt. Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amefunguka kuwa ataendelea kuwa mtumishi na sio mtawala, kwani anahofu ya Mungu. Read more about "Sitaki kuwa mtawala"- Rais Magufuli