Makambo na Yanga kwa pamoja wagoma kukamatika

Kikosi cha Yanga kilichocheza dhidi ya Mbeya City.

Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania klabu ya Yanga leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliomalizika jioni hii kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS