Wanafunzi 500 wakimbia shule Mtwara
Zaidi ya wanafuzi wapatao 500 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za sekondari Namikupa, Naputa na Tandahimba mkoani Mtwara hawajaripoti shuleni na kuleta sintofahamu kubwa miongoni mwa wadau wa elimu.

