CCM, Magufuli, kujifungia leo Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo anatarajiwa kuongoza kikao cha halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi kitakachofanyika Jijini Dar es salaam ambacho kitalenga kujadili masuala mbalimbali ikiwemo hali ya kisiasa nchini.