Neno la kwanza la Amber Rutty baada ya kutoka jela
Video Queen, Mascat Abubakary 'Amber Rutty'.
Kwa mara ya kwanza tangu atoke gerezani kwa dhamana, Video Queen, Mascat Abubakary 'Amber Rutty' ameibuka na kueleza kuwa jela hapana mchezomchezo, na watu wasitamani.