"Lissu, Zitto ngoma droo" - Ado Shaibu

Kushoto ni Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe.

Katibu wa Itikadi na Uenezi ACT, Ado  Shaibu ameweka wazi kuwa akipewa nafasi ya kuchagua  kati ya Tundu Antiphas Lissu (CHADEMA)na Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) kugombea urais itakuwa ngoma droo kwa kuwa ni viongozi wenye misimamo na kusimamia kilicho sahihi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS