"Lissu, Zitto ngoma droo" - Ado Shaibu
Katibu wa Itikadi na Uenezi ACT, Ado Shaibu ameweka wazi kuwa akipewa nafasi ya kuchagua kati ya Tundu Antiphas Lissu (CHADEMA)na Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) kugombea urais itakuwa ngoma droo kwa kuwa ni viongozi wenye misimamo na kusimamia kilicho sahihi.

