Jokate kutimiza ndoto ya Rais Magufuli
Ikiwa ni siku mbili tu tangu Rais Magufuli afanye mabadiliko kwenye Wizara ya Madini, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh. Jokate Mwegelo ameuhakikishia umma wa Watanzania kuwa atapambana kwa juhudi na maarifa kuhakikisha Wanakisarawe wananufaika na Madini.

