Mtanzania wa chini ya miaka 15 kukipiga Besiktas
Mwenyekiti wa chama cha soka Jijini Dar es salaam (DRFA), Jamal Kasongo amesema changamoto ya miundombinu pamoja na usimamizi ni tatizo kubwa kwenye kukuza vipaji japokuwa wao wamefanikiwa kufanikisha safari ya Rabbin Sanga kwenda kufanya majaribio Afrika Kusini.

