Baada ya kichapo, Sarri ajifungia na wachezaji

Kocha, Maurizio Sarri na benchi la ufundi la Chelsea

Inaelezwa kuwa kocha wa Chelsea, Maurizio Sarri alijifungia pamoja na wachezaji katika vyumba vya kubadilisha nguo, mara baada ya kumalizika kwa mchezo wake dhidi ya AFC Bournemouth usiku wa jana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS