Kesi ya Viongozi wa CHADEMA yapewa Hakimu mpya

Freeman Mbowe na Esther Matiko wakiwa na Askari kwenye gari linalowarudisha magereza.

Kesi inayowakabili baadhi ya viongozi wakuu wa Chama na Wabunge 7 wa Chadema, imeendelea leo ambapo  imepangiwa Hakimu mpya anayejulikana kwa jina la Kelvin Mhina.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS