Cristiano Ronaldo apoteza nafasi ya kufuta doa
Nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo, Januari 31, 2019 amepoteza moja ya nafasi adimu za kushinda mataji matatu (trebble) baada ya kushuhudia klabu yake ikitupwa nje ya michuano ya Coppa Italia.

