DC Kasesela aeleza ahadi za walioukacha upinzani
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amesema uamuzi wa CCM kuwateua madiwani waliotoka upinzani kugombea tena nafasi hizo ulikuwa ni moja ya mikakati ya ushindi wa kurejesha kata zilizokuwa upinzani kuwa mikononi mwa chama tawala.

