Mkurugenzi aliyeua kanisani akamatwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi mkoani Singida, Pius Luhende na Askari wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mwanaume aliyejulikana kwa jina la Peter Chambalo kwa kumpiga risasi akiwa kanisani. Read more about Mkurugenzi aliyeua kanisani akamatwa