RPC asimulia mwanzo mwisho, jinsi mtu alivyouawa Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Sweetbert Njewike, amesimulia jinsi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, Pius Luhende, alivyosababisha kifo cha raia mmoja baada ya kumvamia akiwa kanisani. Read more about RPC asimulia mwanzo mwisho, jinsi mtu alivyouawa