Yanga yaomba TFF iwahurumie Kikosi cha Yanga Meneja wa klabu ya Yanga Hafidh Saleh amelalamikia upangaji wa ratiba ya ligi kuu soka Tanzania Bara, huku wakitaka izingatie umbali na hali halisi ya usafiri. Read more about Yanga yaomba TFF iwahurumie