Makonda atoa neno kuhusu afya ya Ommy Dimpoz

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewajia juu baadhi ya watu ambao wameonesha kutuunga mkono wimbo wa msanii, Ommy Dimpoz ambao unajulikana kwa jina la 'Ni wewe' uliolenga kutoa shukrani kwa Mungu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS