Zahera azungumzia kipigo cha bao 10 cha Simba Mwinyi Zahera Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, raia wa DR Congo, Mwinyi Zahera ametupa dongo jipya kwa timu ya Simba kufuatia kichapo cha mechi mbili mfululizo za Klabu Bingwa Afrika kwa jumla ya mabao 10-0. Read more about Zahera azungumzia kipigo cha bao 10 cha Simba