Waziri aeleza Tanzania kujenga kiwanda kikubwa EAC
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesema serikali za Tanzania na Misri zimekubaliana kuanzishwa kwa kiwanda kikubwa cha nyama na mazao ya ngozi hapa nchini.