Nape Nnauye ajiuzulu, Katibu wa bunge afunguka Nape Nnauye Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai amethibitisha kupokea barua ya mbunge wa Mtama Mh. Nape Nnauye kujiuzulu nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Read more about Nape Nnauye ajiuzulu, Katibu wa bunge afunguka