Yanga ilivyojiandalia faini ya laki 5 au milioni 1

Kikosi cha Yanga

Bodi ya Ligi (TPLB) chini ya shirikisho la soka nchini (TFF) kupitia kamati ya Ligi na kamati ya nidhamu, imekuwa ikitoa adhabu ya faini mara nyingi kwa vilabu vinavyokiuka taratibu za mechi lakini kwa Yanga wameonekana kutohofia hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS