Askari Polisi akatwa nyeti zake na mkewe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Flora Adam (23), kwa tuhuma za kumkata mume wake sehemu zake za siri, ambaye ni Askari polisi aitwaye PC Kazimir (28), mkazi wa Shinyanga Mjini, kitendo ambacho kimeelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi.