Waadhimisha Uhuru kwa kukagua Nyama mabuchani
Wakala wa Vipimo Nchini (WMA), imesema kuwa itaendelea kulinda maslahi ya watumiaji na wafanyabiashara, kupata stahiki sahihi katika manunuzi na uuzaji wa bidhaa zao kwa kutumia vipimo vinavyoendana na thamani ya pesa inayolipwa na mteja.