Baada ya milioni 500, Mo Dewji atoa tena 100 Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba Mohammed Dewji, ameahidi kutoa shilingi Milioni 100, kama zawadi kwa timu ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars endapo itatwaa ubingwa wa CECAFA. Read more about Baada ya milioni 500, Mo Dewji atoa tena 100