Uwoya ashindwa kuvumilia hili kwa mpenzi wake Muigizaji wa Filamu nchini, Irene Uwoya. Staa wa BongoMovie, Irene Uwoya, amesema atakuwa hana noma akimuona mpenzi wake anam 'kiss, mwanamke mwingine au kumuita majina ya kimahaba, ila kitu atakachokishindwa ni kuona mwenza wake akimsaliti. Read more about Uwoya ashindwa kuvumilia hili kwa mpenzi wake