Saudi Arabia yaruhusu migahawa kuwa na mlango 1
Hatimae Serikali nchini Saudi Arabia, imeruhusu migahawa kuwa na mlango mmoja wa kuhudumia wateja bila kuzingatia jinsia ama familia, ambapo hapo awali ilikuwa lazima kuwa na mlango mmoja kwa ajili ya familia wa wanawake na mwingine wa wanaume.