Bongo Movie yampoteza staa mwingine Marehemu msanii Diana Choudry Nsunda Taarifa zilizochapichwa katika ukurasa wa mtandao wa instagram wa muigizaji Jimmy Mafufu, zinasema wameondokewa na mmoja wa wasanii wa filamu aitwaye Diana Choudry Nsumba ambaye amefariki dunia Disemba 31, 2019. Read more about Bongo Movie yampoteza staa mwingine