Mshambuliaji wa TP Mazembe meza moja na Ronaldo
Mshambuliaji wa klabu ya soka ya TP Mazembe na timu ya taifa ya DR Congo Jackson Muleka, ameibuka kinara katika bara la Afrika kwa mwaka 2019, akifanikiwa kuwa mfungaji bora katika michuano ya kimataifa, huku tuzo hiyo kidunia ikichukuliwa na Cristiano Ronaldo.