Bumbuli ajibu tambo za Manara Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli Afisa Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa klabu hiyo haina muda wa 'kujimwambafai' kama wanavyofanya mahasimu wao Simba kuelekea mchezo wao wa ligi wikiendi hii. Read more about Bumbuli ajibu tambo za Manara