AT adai hadhi yake ni Justin Bieber sio Waafrika

Msanii wa Bongo AT na Msanii wa Pop nchini Marekani Justin Bieber.

Msanii wa muziki nchini AT, amesema kuwa hana mpango wa kufanya kazi ya kimuziki na wasanii wa Afrika kwa sababu haoni utofauti wowote kutoka kwao na badala yake anafikiria kufanya muziki na msanii wa Pop kutoka nchini Marekani, Justin Bieber.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS