Mfungwa Mbeya aliyekataa kurejea Uraiani afuatwa
Hatimae kijana Merald Abraham, aliyekuwa amefungwa kwenye Gereza la Ruanda, mkoani Mbeya na kukataa kurejea Uraiani, baada ya kupata msamaha wa Rais Magufuli, tayari ndugu zake wamekwishamchukua na kuondoka naye nyumbani.