Salama kuja na kipindi kipya EATV Salama Jabir Mtangazaji maarufu wa Radio na Televisheni nchini Tanzania, Salama Jabir anakuja na kipindi kipya cha TV hivi karibuni, kitakachojulikana kwa jina la 'SALAMANA'. Read more about Salama kuja na kipindi kipya EATV