
Salama Jabir
Kipindi hicho ambacho kinawalenga zaidi vijana wenye umri wa miaka 18-35, kitaruka East Africa Television (EATV). Kitakuwa kinahusu mazungumzo mbalimbali na marafiki zake, watu maarufu wakiwemo wanamuziki, waimbaji, wachekeshaji, wafanyabiashara na wengineo.
Stori hizo zinalenga kuelimisha, kuchekesha na kuburudisha. Kipindi kitakuwa kinaruka kila Alhamis Saa 3:00 Usiku hadi 4:00 Usiku kupitia Ting'a namba moja kwa vijana EATV. Marudio yake yatakuwa yakiruka kila Ijumaa Saa 8:00 Mchana na Jumapili Saa 8:30 Mchana.
SALAMANA, itaruka kwa mara ya kwanza Januari 30, 2020 EATV Pekee.
Kaa tayari kwa Show Mpya kabisa kupitia Ting'a namba moja kwa vijana EATV Pekee.
Ni ya aina yake na ya kipekee kabisa. Usikose kuanzia Januari 30, 2020 Saa 3:00 Usiku. Kutana na mkali wa hizi kazi @EceJay kwenye #SalamaNa pic.twitter.com/4wTeXz2nBc
— East Africa TV (@eastafricatv) January 20, 2020