Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Peramiho, Exavery Luyagaza amewateua wagombea 15 kutoka Vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwa ajili ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Peramiho katika uchaguzi utakaofanyika Februari 26, 2026.
Waliopitishwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Peramiho ni.
- Mhagama Hamis Yusufu – NLD
- Yusufu Rashid Rai – AAFP
- Abdalah Boniface Ngonyani – MAKINI
- Hanifa Sembe Mohamed – UMD
- Betrice Omari Muya – UPDP
- Jacob Dickson Mapunda – DP
- Dastan Frolian Pili – CCK
- Morice Thomas Nkongo – TLP
- Mtemi Pachoto – UDP
- Shani Ayubu Zinduku – SAU
- Juma Mtokani Haule – NCCR-MAGEUZI
- Rahel George Balama – NRA
- Ismail Said Mkopi – ADC
- Anna Daniel Kapinga – ADA-TADEA
- Dkt. Lazaro Kilian Komba – CCM





