Billnass aibuka kuhusu mavazi yake Msanii wa Muziki nchini, Billnass. Baada ya kuzungumziwa kwa muda mrefu sana, kama msanii asiyejua kuvaa, Billnass amesema yeye huwa anavaa kile anachokipenda ili kuleta utofauti. Read more about Billnass aibuka kuhusu mavazi yake