UDOM yafafanua sababu ya kukamatwa kwa Mwanafunzi
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Faustine Bee, amesema mwanafunzi Masumbuko Mgaya alishikiliwa na Jeshi la Polisi kwa makosa 3 ya matumizi ya mtandao na hakuna kosa linalohusiana na suala la upatikanaji wa maji chuoni hapo.

