Amber Rutty afunguka kufumaniwa na Enock Bella Kushoto pichani ni Amber Rutty, kulia ni Enock Bella Video Vixen na msanii Amber Rutty amefunguka kusema aliwahi kufumaniwa na mume wake Davil, akiwasiliana na msanii Enock Bella ambaye alikuwa anamtaka kimapenzi. Read more about Amber Rutty afunguka kufumaniwa na Enock Bella