Mtaalam wa Nyoka, afariki kwa kung'atwa na Nyoka

Nyoka

James Paschal, Mkazi wa Mtaa wa Kilimani Kata ya Nsemulwa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, ambaye ni mtaalam wa sanaa ya kucheza na Nyoka, amefariki Dunia baada ya kung’atwa na Nyoka, wakati akiwa porini akijaribu kuwakamata kwa ajili ya kazi yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS