MC Pilipili amuonya mke wake Picha ya MC Pilioili na mke wake Qute Mena MC Pilipili amesema hataki mke wake Qute Mena, awe msanii kwa sababu yeye tayari yupo katika tasnia hiyo, na asingependa afanye jambo hilo na badala yake ni kumtaka ajishughulishe na masuala mengine. Read more about MC Pilipili amuonya mke wake