"Kama Suprise ni Baba Levo, imeshakufa"-Msechu
Msanii wa BongoFleva Peter Msechu, ametangaza kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Ama Lauren, ambaye ni mzazi mwenziye siku ya leo Januari 25, 2020 kuanzia 8:30 mchana hadi 10:30 jioni, katika kanisa la KKKT ushirika wa Ununio.

