Alikiba alivyoipa nguvu Lipuli ikishinda 4 - 0
Saa chache kabla ya timu ya Lipuli kucheza mchezo wake dhidi ya Dar City ya Dar es salaam kwenye michuano ya Kombe la FA ambapo Lipuli ilishinda kwa mabao manne 4 - 0. Msanii wa Muziki Alikiba alifanya mazoezi na wachezaji wa Lipuli.