Diaspora kujenga daraja kutoka Dar hadi Zanzibar
Watanzania waishio nchi za Nje (Diaspora), wapo kwenye mkakati wa kujenga daraja lenye urefu wa Kilomita 30.01, kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar, ambapo wamependekeza daraja la kuelea kwasababu ujenzi wake ni rahisi na gharama zake ni nafuu na garantii yake ni miaka 100.